Posts Tagged ‘ Michezo na Kpub ’

Mafahali Hondogo shule ya msingi

Wanafunzi waliohitimu Elimu ya Msingi 2009 Shule ya Kiluvya Hondogo wakiwa katika Picha ya pamoja wakionesha Vyeti vyao.

Kiluvya P/R School

Wanafunzi wa Darasa la kwanza Shule ya Msingi Hondogo, Kiluvya wakiimba Utenzi katika Mahafali ya Shule hiyo

Watoto wakiwaimbia wenzao nyimbo za kuwaaga katika Mahafali hiyo. Je unakumbuka enzi zako? nani hakupitia hayo?

Watoto wa Shule ya Msingi ya Hondogo wakiburudisha kwa kucheza Ngoma za Asili.

Ngoma za asili

Advertisements

Kiluvya Pub kituo cha starehe kwa watu makini

Widescreen Satelite Dish

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Screen Kubwa ndani ya Kiluvya Pub, jionee ligi zote kubwa za Ulaya na afrika ndani ya Kiluvya Pub. Kandanda na matamasha mbalimbali kama Miss world na mengineyo.

Kiluvya pub fans

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Wapenzi wa Football wakifuatolia moja ya Mechi kubwa za Ulay ndani ya Kiluvya Pub.

Waziri wa Habari Utamaduni na michezo

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Waziri wa Habari Utamaduni na Michezo (Katikati) pamoja na mkurugenzi wa Kiluvya Pub kulia pamoja na muheshimiwa Mkude.

Tamasha maalum Kiluvya Pub

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Siku Shirikisho la Mpira wa Miguu (TFF) walipowakutanisha Wachezaji wa zamani pamoja na Waamuzi, Madaktari na Maofisa wa Football. Angalia Picha zao na Watambue mwenyewe.

Husein Omari

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Husein Omari

Jella Mtagwa

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Jella Mtagwa

Wachezaji

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Salim Mbonde

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Mtangazaji Wa TBC Ndugu Salim Mbonde. Ni Mtangazaji Mahiri sana wa Football

Wachezaji wa zamani

 

 

 

 

 

 

 

 

 

wajue wachezaji wa zamani

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Wachezaji wetu

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Wachezaji wetu wa Long

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Rashid Mfaume Kawawa

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Waziri Mkuu Mheshimiwa Mizengo Pinda akimpa Zawadi Mzee Kawawa kutambua mchango wake katika kuendeleza Michezo akiwa Kiongozi wa Serikali Enzi hizo.

Simba wa Nyika

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Referee Mfaume Kawawa

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Makamu wa Rais na Waziri Mkuu Mstaafu Mzee Rashidi Kawawa akielekea Uwanjani kama Referee kuanzisha Mpambano baina ya Mawaziri wa Tanzania Bara na Mawaziri wa Zanzibar enzi hizo.

Advertisements