Events


EASTER EASTER EASTER – PASAKA PASAKA PASAKA
Usikose uhondo ndani ya Kituo chako cha starehe Kiluvya Pub,
Muziki mkali na Djs waliobobea kutoka Kiluvya Djs Group na Nje ya Pub. Fanya Pasaka yako iwe safi na Kiluvya Pub.

Live Band Music pamoja na wasanii wa Bongo flava wanakuwa wanatumbuiza ndani ya Kiluvya Pub siku ya matukio maalum kama sikukuu au sherehe.

Wanamusiki mbalimbali wanakuja kufanya Live shows ambacho kimekuwa kivutio kikubwa sana kwa wageni na wanakijiji cha Kiluvya.  Siku za ijumaa kunakuwa na ZILIPENDWA na Jumamosi kunakuwa na Disco (Night Club) inaweza kuwa musiki kutoka kwa special DJS au ma-Dj wa Kiluvya Pub kila wiki.  Pia wageni tofauti wakubwa kutoka inchini na ng’ambo huwa wanakuwepo kwa wingi.
Advertisements
 • Trackback are closed
 • Comments (2)
  • emmanuel biseko
  • October 17th, 2009

  mambo ni vp wakazi wa kiluvya nimefurahi kuona maendeleo mliyofikia katika kuitangaza kpub kwa kuwaleta wasanii mbalimbali

  • Sophy
  • March 9th, 2010

  Ni web nzuri hongereni wanakiluvya bigup kwa Designers kwa sababu wanafanya kazi kubwa ongezeni na habari zinazohusu
  tamaduni za mtanznia

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

Advertisements
%d bloggers like this: