Drinks / Food


DRINKS.

Vinywaji vya aina mbalimbali vinapatikana ndani ya Pub yako maarufu ya Kiluvya, hapa chini ni baadhi tu ya mchanganuo wa vinywaji vipatikanavyo ila vingi zaidi vipo kwa order maalum kwa wale wanaotoka ng’ambo wasiliana nasi kwa contacts zetu ili kuweza kutoa order ya kinywaji ambacho huenda kisiwepo.

Kiluvya Pub inahudumia vinywaji vifuatavyo;

BEER / LAGER

Ni pombe maarufu inchini Tanzania na iko chungu kidogo kwa waanza kunywa (Bia)  ila iko ok kwa wazoefu kwa Uingereza inaitwa Ale.  Pia kuna Lager yenyewe ni pombe ambayo haina Kilevi kikubwa ukilinganisha na bia na hai-testi uchungu sana.

Bia nyingi zinapatikana Kiluvya Pub karibia zote za inchini (Local beer) pia na nyingi za ng’ambo, bia za inchini ni pamoja na  Safari Lager, Kilimanjaro Premium Lager, Castle Lager, Ndovu, Tusker, Serengeti pamoja na nyingine nyingi.  Bia za ng’ambo ni Stella Artois, Carling na calsberg, Reds na Heinenken

serengeti

Safari Lager

Castle Lager

Carling - UK LagerCarlsbergSafari pintKilimanjaro biaStella Artois

 

 

 

 

                                                       Kiluvya Pub

_______________________________________________________________

OTHER DRINKS

WINE

KPub_Dodoma wine_Tanzania“Ni kinywaji maarufu nchini na kinapatikana katika baa nyingi na pabs nyingi ndani ya jiji la Dar Es Salaam na inchi nzima kwa ujumla,  ingawa katika baadhi ya pabs wine inakuwa hairuhusiwi.  Wine ambayo inapatikana kwa wingi ni Red winena White wine.

 

Baadhi ya wine inatoka inchi jirani kama Kenya na Afrika ya kusini na nchi za nje haswa Uingereza, Marekani na Chile.

 

Wine halisi ijulikanayo inchini ni Dodoma wine ambayo inatoka katika mkoa wa Dodoma kaskazini mwa Tanzania ambako ndiko mji mkuu wa Kiserikali.” 

 

More wine from Kiluvya Pub.

 

KPub WineKpub WineKiluvya Pub Wine

Tanzania Kpub wine

______________________________________________________________

 

CIDER

Ni pombe itengenezwayo kutokana na ma-apple pia inajulikana kama crumpy kwa kiingereza inaweza kuwa tamu au kavu.  Cider inapatikana ndani ya Kituo chako cha starehe Kiluvya Pub mara nyingi cider ni imported kutoka inchi jirani haswa Afrika ya Kusini.

 

Cider alcohol from apples

Cider ndani ya KPubCider bottles

 

WHISKY

Ni kinywaji ambacho kina kilevi kingi zaidi ukilinganisha na bia na ciders au vodka.  Kwa kiluvya pub na Tanzania kwa ujumla kuna vipimo maalum vinavyotumika hujulikana kama pegs ambapo Uingereza huita shots na Marekani huita Jigger.  Wisky za aina mbalimbali zinapatikana Kiluvya Pub pamoja na Scotch, Jack Daniels, John walker na nyinginezo nyingi.  Wisky nyingi hutoka ng’ambo (imported).

 

All kinds of whisky just ask for it in a few minutes it should be on your table. Enjoy!!

 

Jack DanielsJohn WalkerScotch

Sambuca

 

 

 

 

 

Konyagi-Moment

___________________________________________________________

JUICE / MAJI / SODA

Juisi aina mbalimbali zilizotengenezwa inchini na nje ya nchi zinapatikana pia kwa wale ambao hawatumii mitulinga (vilevi). Ni pamoja na juisi za mapesheni, ma-apple, mananasi na kadhalika, pia maji Uhai, Kilimanjaro na Blue water yanapatikana ndani ya Kiluvya Pub. Pia soda aina zote za chupa na kopo zipo.

Juice of all types, water and soda are available at Kiluvya pub

Passion Juice

___________________________________________________________________

CHAKULA/FOOD

Chips mayai, chips kuku, nyama choma (Mbuzi, Ng’ombe, Kuku), mishikaki na ndimu na pilipili na kachumbali special,  (Bbq), Ndizi choma / ndizi za kukaanga, Makongoro, Chakula maalum (Special), Supu (kuku, mbuzi, ng’ombe, makongoro) na kadhalika.

Mishkaki

Chips Mayai

Ndizi (choma au kaanga)

Kuku wa kukaanga

Welcome to Kiluvya Pub for more food recipes and details

Advertisements
Comments are closed.
Advertisements
%d bloggers like this: