WIDE SCREEN LIVE FOOTBALL


Hujutii  muda wako unapokuwepo Kiluvya Pub kwani ni mahali ambapo mbali na Burudani kadhaa utajionea Michezo ya Ligi mbalimbali za Barani Ulaya na Afrika pia Mashindano ya Champions League. Huonyeshwa kupitia Screen kubwa kama inavyoonekana hapo. Mashindano ya Kombe la Dunia Yataonyeshwa pia kaa mkao wa kula.

Kiluvya Pub ni Mahali ambako Ligi mbalimbali Barani Ulaya pia Champions League zinaonyeshwa kupiti Screen kubwa kama inavyoonekana hapo katika mpambano baina ya Bayern Munich Vs. Man United

Wapenzi wa Football wanafuatilia Mpambano.

Advertisements
    • Sophy
    • May 6th, 2010

    Inapendeza familia kujumuika pamoja hasa siku za sikukuu kama
    hizi namwona Mama amembeba mtoto wake, maana familia zingine baba anaenda mwenyewe mama mwenyewe na mtoto kivyake i like that

  1. No trackbacks yet.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

Advertisements
%d bloggers like this: